Kiomi

Kiomi ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Waomi. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kiomi imehesabiwa kuwa watu 91,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiomi iko katika kundi la Kimoru-Madi.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search